BAADA YA YEMI ALADE NA M.I; MSANII MWENGINE KUTOKA NIGERIA AIMBA KISWAHILI.

0

Our Rating

0

Collabo ilyokua ikizungumziwa kwa mda baina ya Rapper kutoka Tz  Joh Makini na msanii Davido kutoka Nigeria huenda ikatoka hivi karibuni.

Rapper Joh Makini amefichua kuwa kazi hiyo iko karibu kutoka na kwamba katika wimbo huo Davido ameimba Kiswahili.

davido joh

“Ni jambo zuri na lenye faida kwetu na kwake pia ambapo kwa upande wake itamuongezea mashabiki na watu wanaosikiliza muziki wake kwa ukanda huu unaozungumza lugha ya kiswahili” amesema Joh Makini.

Unazungumziaje swala la wasanii wa Nigeria kuimba Kisawahili? Ni jambo zuri ama baya kwa wasanii wetu?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

SHINEY ASHAURI WASANII CHIPKIZI

Msanii wa kike kutoka kanda ya pwani Shiney Anne ambaye alikua amenyamaza kimziki kwa mda mrefu, amerudi katika game na kishindo. Baada ya kuachilia kibao ...
Skip to toolbar