BAADA YA WOLPER NA HARMONIZE SASA NI HAWA WAWILI.

0

Baada ya mshabiki wa Bongo Fleva kuzungumia kwa hisia tofauti kuhusu kundi la WCB kuwa na mahusiano na wanawake waliowazidi umri, sasa kumezuka uvumi kuhusu couple mpya Katika Bongo Flavaz.

Wasanii hawa Aslay na Ruby. Ndio umeniskia! …..Dogo Aslay na mwanadada Ruby…!

sdfgh

Inadaiwa kwa sasa wawili hawa wameshindwa kuficha hisia zao za mapenzi na tayari wameanza kuyaanika hadharani kuptitia kwenye mitandao ya kijamii.

Wawili hao wamekuwa wakipostiana picha zao katika kurasa za Instagram huku zikisindikizwa na Hashtag zenye sumu ya mahaba kama …….

“maneno maneno yasivuruge amani” _ “i know what is love ,age is just 123” … etc

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || DULLY MELODY – KIPUPWE

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Dully Melody – Kipupwe: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar