BAADA YA ALI KIBA SASA NI ADELE.

0

Msanii wa muziki wa RnB kutoka nchini Uingereza, Adele anatarajia kusaini mkataba mpya na kampuni ya Sony Music.

Adele anatarajia kusaini mkataba wa pauni Milioni 90 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 13.2 pesa za Kenya.

adele2

Adele ambaye kwa sasa ana utajiri wa paundi Milioni ambazo ni sawa na shilingi bilioni 12.5, atakuwa ni msanii wa kwanza wa kike kuwa na mkataba wa gharama ya juu zaidi duniani.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar