Ali Kiba anautamani wimbo huu wa Justine Bieber, anahisi hakuutendea haki. Ni upi huo?

0

ali-kiba-kitangoma

Msanii wa bongo fleva Ali Kiba amefunguka na kusema kuwa anauzimia sana wimbo wa “What do you

mean” wa msanii Justin Bieber .

Ali Kiba anasema anatamani wimbo huo ungeangukia mikononi mwake.

“napenda sana track hii jinsi ilivyo prodyuziwa kwa sababu sound naiskia vizuri sana kiukweli japokuwa

ameimba lakini naweza kusema ameimba sio ile ki mature zaidi (kikomavu) ,ameimba ki teenage fulani..I

wish ningeipata mimi” alisema Kiba.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

BURNA BOY ATANGAZA KUSTAAFU MZIKI.

Msanii wa miondoko ya Dancehall kutoka nchini Nigeria Burna Boy amewashangaza mashabiki wake baada ya kutangaza kustaafu mziki. Kupitia akaunti yake ya Twitter,  Burna Boy ...
Skip to toolbar