ADELE KUPUMZIKA KUFANYA MUZIKI KWA MIAKA HII.

0

Pop Staa Adele ametajwa kuchukua likizo ya miaka mitano nje ya muziki baada ya kukamilisha ziara yake ya show 105 Ulaya na North America.

Adele atachukua likizo hio ya miaka mitano ili kumshugulikia zaidi mtoto wake aliyempata kwenye mahusiano yake na boy friend wake Simon Konecki.

Adele atatumia muda wake mwingi na mtoto wake Angelo na ziara yake itaisha November mwaka huu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII APIGWA MAWE MSIBANI

Msanii mkubwa nchini Zimbabwe Jah Prayzah amejikuta katika dhahama kubwa baada ya wananchi kuanza kumshushia kipigo na mawe, alipokwenda kuhudhuria msiba wa aliyekuwa mlinzi (Body ...
Skip to toolbar