50 Cent afichua hichi kuhusu fedha anazopost Instagram.

0

Rapper 50cent kutoka nchini Marekani anadai fedha anazoonekana nazo katika picha anazo zisamabaza katika mitandao ya kijamii ni bandia.

Haya yamefichuliwa na 50 Cent mwenyewe alipofika mbele ya mahakama ya masuala ya kufilisika, kueleza kuhusu moja ya picha  zinazomuonesha akiwa amezungukwa na rundo la fedha zilizoandika neno broke.

50-Cent-Money

Hata hivyo 50 Cent amemueleza jaji Ann Nevins kwamba fedha anazopiga picha nazo si halisi na kujitetea kutokana na madai kwamba anaficha mali yake.

50 Cent, ambaye majina yake halisi ni Curtis Jackson III, anataka mahakama kumtangaza kwamba amefilisika, ili kukwepa kulipa dola milioni 7 kama fidiakwa mwanamke mmoja ambaye 50Cent alipost mkanda wake wa ngono mtandaoni.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || CHIKUZEE – MANYAKUNYAKU

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Chikuzee – Manyakunyaku: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI ...
Skip to toolbar