ZIKY ANATAFUTA HOUSEGIRL!

0

Msanii wa mziki kanda ya pwani Ziky maarufu “Ziky wa ziky” amezua gumzo mtandaoni baada ya kusema anatafuta mschana wa kazi za nadni.

Kupitia kurasa yake ya facebook Ziky, aliwaandikia wafuasi wake kuwa anatafuta mschana wa kazi za ndani japo hakueleza hasa ni wa kufanya nini.

Mashabiki wengi wamechangamkia swala hilo kwa maswali wakitaka kujua hasa huyo mschana atakua akifanya kazi gani za ndani.

Baadhi wameonekana wakimtaka Ziky kuweka wazi kama anatafuta jiko na wala sikutumia kisingizo cha house girl.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar