ZARI AMUANIKA DIAMOND. KULIKONI?

0

Mwanamama Zari The Boss Lady ametupa dongo kwa aliyekua mpenziwe na mzazi mwenziwe msanii wa Tanzania Diamond Platnumz kuhusiana na utajiri wake.

Akijibu kauli ya shabiki mmoja aliyedai utajiri wake wa sasa unatokana na kuzaa na Diamond, Zari amefichua kuwa katika list ya wanaume matajiri aliowahi kuingia nao katika mahusiano ya kimapenzi, Diamond hayumo katika list hiyo sababu ya uchahe wake wa utajiri wake.

Zari ameeleza kuwa hawez kumweka Diamond katika list hiyo sababu hana pesa za kuwazidi wanaume wengine aliowahi kuwa nao.

Diamond na Zari wamezaa watoto wawili na walitangaza kutangana mwaka jana mwezi wa pili.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

YOUNG KILLER ATAKA KUANDIKIWA NYIMBO.

Rapa Young Killer amefungua milango kwa mwandishi yeyote mwenye uwezo level zake kumwandikia wimbo. Aidha Young Killer anasema anakaribisha producer yeyote mchanga mwenye uwezo wa ...
Skip to toolbar