ZA PUNDE ZAIDI KUHUSU UCHUNGUZI WA KIFO CHA RADIO.PRODUCER AHUSISHWA

0

Polisi nchini Uganda wanadiawa kupanga kumkamata producer mmoja wa muziki nchini Uganda maarufu kwa jina la Washington, baada ya kuhusishwa na kifo cha msanii Radio.

Kulingana na taarifa kutoka kambi ya marehemu, producer Washington ndiye aliyemchukua Radio kutoka nyumbani kwake na kwenda naye club, ambako alipigwa na kujereuhiwa vibaya jambo lililopelekea kifo chake.

Producer Washington anadaiwa kutotoa maelezeo ya kueleweka kuhusiana na maswali tata yanayozunguka uchunguzi wa shambulizi lililopelekea kifo cha Radio.

Polisi wa Uganda tayari wamemkamata mtu aliyempiga Radio hadi kupelekea kifo chake anayejulikana kwa jina la Troy, ambaye ametajwa na producer Washington kama aliyekuwa naye siku ya tukio.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || CYPREEZY – UKO JUU

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Cypreezy – Uko Juu: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...