YOUNG KILLER ZUNGUMZIA TETESI ZA UHASAMA NA BARAKA THE PRINCE.

0

Rapa Young Killer anayeiwakilisha vyema Mwanza katika muziki wa Hip hop amefunguka na kusema kuwa yeye hana tofauti yoyote na msanii Baraka The Prince.

Awali, Rapa Young Killer alishawahi kunukuliwa kuwa havutiwi na kazi za msanii huyo.

Hat hivyo Killer amejitokeza na kueleza kuwa yeye hana tofauti yoyote na Baraka The Prince na kwamba anamkubali Baraka The Prince kutokana na kazi zake na uimbaji wake mzuri.

download (13)

“Mimi mwenyewe nilisikia hizo tetesi mtaani lakini ukweli ni kwamba sina tofauti na Baraka The Prince na mimi ninamkubali sana kazi zake nzuri pamoja na uimbaji wake mzur.

Mbali na hilo Young Killer amesema kuwa kwa sasa amerudia utaratibu wake wa zamani kutoa kazi kila baada ya miezi mitatu ili kuwa karibu na mashabiki zake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

TOTTI AFICHUA MIPANGO YAKE YA KIMZIKI.

Baada ya kumaliza Media Tour yake jijini Nairobi, msanii Totti kutoka hapa pwani anawataka mashabiki wake kutarajia mazuri zaidi. Akizungumza jijini Nairobi, Totti amesema ana ...
Skip to toolbar