YOUNG KILLER AMJIBU KHALLIGRAPH

0

Baada ya rapper Khalligraph kumsifu na kumtaja rapper Young Killer kama msanii wa Hip Hop anayemkubali zaidi Bongo, Young Killer amejitokeza kumjibu Khalligraph.

Young Killer hitmaker huyo wa Dear Gambe, amedai amefarijika sana baada ya kusikia kauli ya rapper Khalligraph.

khaligraph-2

“Nimefurahishwa sana baada ya kusikia taarifa hizi na ninaweza kusema tu Khalligraph ameniwahi kwani naye ni miongoni mwa wasanii ambao nina ndoto ya kufanya nao kazi,” Young Killer amesema.

Young Killer amesema pia yeye anamkubali Khalligraph akimtaja kuwa real na inshara kamili ikiwa ni jinsi watu wengi wanavyopenda kazi zake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar