WOSIA WA PROFESA JAY KWA WASANII KUHUSU ‘KIKI’

0

Msanii mkongwe wa Hip Hop na mbunge nchini TZ , Joseph Haule aka Professor J anawataka wasanii wa muziki wa kizazi kipya kufanya kazi kwa bidii na kuacha kutegemea “kiki” katika kusukuma mziki wao.

Professor anasema wasanii wengi siku hizi wanatengeza kiki ambazo zinakuja kuwaaribia kazi zao.

download (5)

“Unakuta kiki mpaka inauzidi wimbo wenyewe, kiki ninapitiliza, ni kama mtu anakimbizwa halafu anakimbia mpaka anapitiliza nyumbani, kuna kiki zingine hazina maana,” alisema Professor J.

Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na video yake ya wimbo ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha Sholo Mwamba, anawataka wasanii kufanya kazi kwa bidii na kuacha kufanya kazi kwa kutegema kiki.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII DAVIDO AMPINGA RAIS WA NIGERIA!

Msanii mkubwa wa mziki nchini Nigeria amejitosa katika wimbi la siasa linaloendela kwa sasa nchini Nigeria, baada yakupinga hadharani agizo la rais la kuwataka watakaoshiriki ...
Skip to toolbar