WIZKID KUFANYA COLLABO NA MSANII HUYU WA REGGAE.

0

Msanii mkubwa nchini Nigeria wizkid anaendelea kufanya collabo za kimataifa na kupanua mbawa zake katika soko la mziki ulimwenguni.

Kulinga na taarifa za punde kutoka kambi yake, Wizkid amekutana na mtoto wa Bob Marley, Damial Marley akiwa na lengo la kufanya collabo naye.

Katika mahojiano ya awali, Wizkid mwenye umri wa miaka 27 amewahi kunukuliwa akitamani kufanya collabo na wasanii kama Kanye West na Damian Marley.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar