WIZKID KATIKA KASHFA KALI YA USHIRIKINA

0

Msanii mkubwa nchini Nigeria Wizkid amejipata akiogelea tuhuma nzito ya ushirikina baada ya msanii moja chipkzi kwa jina Alo Ilnass kudai kuwa Wizkid ana kaburi nyumbani kwake.

Kupitia mtandao wa snapchat msanii huyu chipkizi anasema Wizkid hua na kaburi ndani ya nyumba yake na kawaida hulitembelea kabla ya kufanya uamuzi wowote kuhusu biashara yake ya mziki.

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa twitter Wizkid amepuuza madai haya.

Katika siku za nyuma, alo ilnass na wizkid walifanya kazipamoja na kuna wakati Wizkid alitaka kumsajili msanii huyu katika label yake ya starbwoy.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || BIG BRAIN – TOTO

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Big Brain – Toto: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar