WIMBO MPYA WA SUSUMILA & TOTTI – SO FINE. JE UNAFANANA NA WIMBO GANI?

0

Ni mwaka 2018 ambapo wasanii tofauti kanda ya pwani wanachilia kazi zao mpya kwa mashabiki katika soko la mziki.

Wa punde zaidi ni msani Susumila ambapo ameachilia kazi mpya aliyomshirikisha Totti unaoitwa “So Fine”

Hata hivyo wimbo huu umezua gumzo miongoni mwa washikadau tofauti wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya ukanda wa pwani, baada ya wimbo huu kusikika na wengi ukiwa na vionjo vinavyofanana na wimbo maarufu barani afrika MAJOR LAZER & DJ MAPHORISA – PARTICULA.

Akizungumzia tetesi hizi, Totti ambaye pia ni produza tajika ukanda wa pwani amekana mtazamo huu na kueleza kuwa huo ndio mziki wa sasa katika soko na ili kwenda na wakati, lazima kazi mpya ziwe na ladha ya wakati huu na wala hawajaiga.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NAY AELEZA KIINI CHA KIMYA CHAKE

Wahenga walisema kimya kina mshindo. Kwa Nay wa mitego; wapenzi wa Bongo flavaz wanasema kimya chake kina mshindo zaidi. Nay wa mitego amelazimika kuelezea kwa ...
Skip to toolbar