WILLY PAUL AZUNGUMZIA TOFAUTI ZAKE NA HARMONIZE

0

Msanii wa nyimbo za injili kutoka jijini Nairobi Willy Paul amepinga madai kwamba kuna uhasama baina yake na msanii Harmonize kutoka nchini Tanzania.

Willy Paul majuzi alinukuliwa mtandaoni akilalamikia hatua ya Harmonize kuachilia video yake ya kwa jina “Kwa Ngwaru” alomshirikisha Diamond Platnumz siku chache baada ya Willy Paul kuachilia collabo yake na Harmonize kwa jina “PiliPili”.

Screenshots za Willy Paul akilalalmikia kutumia na wasanii wa Tanzania na kuachwa zimesambaa katika mitandao ya kijamii ambapo anadai Harmoniz hasukumi video ya wimbo wao “Pili Pili” kama anavyosukuma video ya “Kwa Ngwaru” aliyofanya na Diamond.

Hata hivyo licha yaushahidi wote, Willy Paul ansistiza kuwa hapana uhasama baina yake ya Harmonize.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

ALI KIBA AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA

Mwanamuziki wa Tanzania, anayetamba na wimbo wake mpya ‘Lupela’, ameendelea kuwaacha njia panda mashabiki wake baada ya kudai kuwa yeye na mrembo Jokate Mwegelo, ni ...
Skip to toolbar