WILLY PAUL ATUSI SHABIKI.SABABU HII..!

0

Msanii wa injili mwenye makao yake jijini Nairobi Willy Paul, amegonga tena vichwa vya taarifa za mitandaoni baada ya kumtusi shabiki mmoja katika mtandao wa Instagram.

Kiini cha mgogoro wote na shabiki husika ilikua picha moja ya madaha ambayo Willy Paul alipost katika akaunti yake ya instagram.

Shabiki mmoja kwa jina Robert Onyango, alimkashifu Willy Paul kwa picha hiyo akimuita “fisi” na mpenda wanawake na kubatiza la jina la “slay queen” mwanamume.

Kauli hii haikumfurahisha Willy Paul na alimjibu akikikubali kuitwa “fisi mpenda wanawake” lakini akaongeza kuwa  yeye ni fisi mpenda wanawake aliyekua anajitayarisha kulala na mchumba Robert Onyango lakini alishindwa sababu mchumba wa Robert Onyango anasura mbaya sana.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JE NI KWELI TIMBULO ALIOA?

Msanii Timbulo kutoka nchin Tanzania amefichua kuwa ameoa na anafamilia. Timbulo amesema kinyume na wengi wanavyofikiria, alio kitambo na ana familia inyamtegemea. Timbulo amefichua kuwa ...
Skip to toolbar