WILLY PAUL ATUSI MASHABIKI MTANDAONI

0

Msanii wa nyimbo za injili mwenye makao yake jijini Nairobi Willy Paul amewashangaza wengi katika mitandao ya kijamii, baada ya kuwajibu visivyo baadhi ya mashibiki wake mitandaoni.

Willy Paul ametumia maneno makali kujibu mashabiki waliomkashifu, baada ya kutangaza kwamba karibuni anatoa wimbo mpya aliomshirikikisha msanii wa Jamaica kwa jina Samantha J.

Samantha J anafahamika kwa kibao chake kwa jina “Tight Skirt” kilichovuma  mwaka wa 2013.

Mashabiki husika walikua awanalalamikia hatua yake ya kufanya kazi na wasanii wasiokua wa mziki wa injili na kupepelekea kupotosha wakristo wanaofuatilia mziki wake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar