WILLY PAUL AOGELEA MATUSI YA MASHABIKI.

0

Msanii wa mziiki wa injili mwenye makao yake jijini Nairobi Willy Paul aka Willy Poze amezua gadhabu za mashabiki baada ya kuwachia wimbo mpya kwa jina Alkaida.

Mashabiki roundhii mbali na malalamishi yao ya kawaida kwamba nyimbo zake hazibebi ujumbe wainjili bali maswal ya kidunia, wameonyesha kuchoshwa na hatua ya Willy Paul kutumia beat ya wimbo wa Nandy kwa jina “Aibu

Wimbo mpya wa WillyPaul “Alkaida” unazungumzia zaidi kujisifu na kuponda watua anohisi hawampendi.

Katika akaunti yake ya instargram, mashabiki wamemimina matusi alipo share kipande cha wimbo huu mpya.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NAY AELEZA KIINI CHA KIMYA CHAKE

Wahenga walisema kimya kina mshindo. Kwa Nay wa mitego; wapenzi wa Bongo flavaz wanasema kimya chake kina mshindo zaidi. Nay wa mitego amelazimika kuelezea kwa ...
Skip to toolbar