WILLY PAUL AKEMEA BAADHI YA MAKANISA

0

Msanii wa nyimbo za injili Willy Paul amekashifu baadhi ya makanisa kwa kile alichodai kama “unafiki”, katika kuendesha shuguli za injili nchini.

Willy Paul anadi kuna baadhi ya makanisa ambayo huitisha michango ya mamilioni ya fedha kujenga vyoo vya kanisa ama kusaidia viongozi wao, lakini hujidai kugeukia maombi wakati muumini maskini anapotaka usaidizi wa fedha kwa vitu kama matibabu na shida nyenginezo.

Hata hivyo baadhi ya wakenya hawajachukulia kwa uzuri kauli yake, wengi wakioenekana kudai  kwamba hata aina ya mziki anofanya yeye pia ni wa unafiki, sababu hauna ladha ya injili bali mapenzi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar