WEMA SEPETU NA IDRIS SULTAN WASHANGAZA MASHABIKI

0

Wema Sepetu na Idris Sultan wamezua gumzo katika mitando ya kijamii baada ya kubadilishana maneno matamu ya mapenzi hadharani.

Wema na Idris waliwahi kuwa wapenzi mwaka wa 2016 kabla ya kutengana na wameendelea kuwa marafiki, licha ya kila mmoja kusemekana kujipatia mpenzi mpyana kuendelea na maisha.

Hata hivyo karibuni wameonekana wakionyeshana mapenzi na kubadilishana maneno matamu katika posts zao za mitandao ya kijamii.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar