WEMA NA DOGO JANJA WALI KWICHY KWICHY ETI?

0

Taarifa za punde zinazvuma mitandaoni nchini Tanzania ni madai kwamba Wema ndio chanzo cha rapper Dogo Janja kukosana na mkewe Irene Uwoya.

Inasemekana Wema na Dogo Janja walifanya mapenzi katika nyumba ya rafiki yao mmoja, baada ya kuvuta bangi pamoja na baada ya Irene Uwoya kujua aliamua kusitisha ndoa na Dogo Janja.

Taarifa hizi zinajiri mda mchache baada ya Wema ku’post picha ya anayedhaniwa kuwa mpezni wake wakiwa faragani.

Screen shots za jumbe za simu zinazosambazwa mtandaoni zinaonyesha Dogo Janja akikiri tukio hilo huku Irene Uwoya akishabikia kusambaa kwa taarifa hii katika mtandao wa instagram.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar