WEMA AWAOMBA MASHABIKI WAMFANYIE HILI.

0

Je wewe ni shabiki sugu wa malkia wa filamu za bongo kwa jina  Wema  Sepetu?

Kama jibu ni ndio, basi Wema anahitaji msaada wako……..!

Wema Issac Sepetu sasa anawataka mashabiki wake wamuombee apate mume bora, atakayekuwa na heshima na asiwe mtu maarufu.

Mrembo huyo anasema siyo vizuri kumhusisha kila mara na uhusiano wa kimapenzi na msanii Diamond Platnumz.

Wema anataka mashabiki watambue kwamba Diamond ni baba wa watoto wawili na mwanamke mwengine kwa sasa na imefika kipindi watu wakubali kuwa hakuna kinachoendelea kati yake yeye na Diamond.

Wema anawataka mashabiki wanaomtakia mema, wamuombee apate mwanaume bora na siyo bora mwanaume atakaye kuwa ni mwenye heshima zake.

 

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RAY C AGUSWA NA ROSE MUHANDO.

Msanii mkongwe wa mziki Bongo Fleva Rehema Chalamila maarufu Ray C, anaitaka serikali ya Tanzania na wananchi kwa ujumla kumsaidia  msanii mkongwe wa nyimbo za injili nchinihumo Rose Muhando. Kipitia ...
Skip to toolbar