WEMA AFICHUA MPENZIWE

0

Mrembo muigizaji kutoka nchini Tanzania Wema Abraham Sepetu amegeuka gumzo katika mitandao ya kijamii, baada ya kumuanika wazi mpenzi wake wa sasa.

Kupita post katika mtandao wa instagram, Wema ametupia picha akiwa kitandani faraghani na jombi.

Katika picha hiyo aliambatanisha na maneno,‘My future husband’, lakini ali’block wote wanaoiona picha hiyo kutoa maoni yao kuhusu picha husika.

Kwa mda mrefu Wema Sepetu amekua kimya kuhusu swala la mapenzi baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu, mchekeshaji Idris Sultan.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar