Rapper mkongwe kutoka nchini Tanzania D Knob, anadai kuwa wasanii wa siku hizi hawana mapenzi na muziki wanaofanya kama walivyokuwa marapper wa zamani.
D Knob anasema marapper wa siku hizi wanajali zaidi fedha.
Hat hivyo D Knob amekataa kuwalaumu ma rapper ina hii akieleza kuwa tasnia ya mziki kwa sasa imebadilika na kutawaliwa na hela zaidi.
“Sasa hivi it’s all about money, kitu ambacho ni kizuri hata sisi enzi zile tulikuwa tunatamani muziki wetu uwe hivi,” amesema.
Aidha D Knob amefichua kuwa enzi zao walijaribu kutengeneza management kama zilizopo sasa lakini walishindwa.
No comments