WEZI WAJIPELEKA GEREZANI BILA KUJUA

0

Jamaa wanne waizi wa magari nchini Afrika Kusini wamegonga vichwa vya habari baada ya kukimbia na kuingia ndani ya gereza wakati wakifukuzwa na polisi.

Akithibitisha tukio hilo, msemaji wa polisi Wayne Dyason ameeleza kuwa  Jamaa hao walifukuzwa na polisi baada ya kuonekana ndani ya gari moja lililokua limeripotiwa kuibiwa awali.

Dyason anasema Katika harakati za kuwakwepa polisi, jamaa hao waliingiza gari lao ndani ya kambi ya gereza moja kwa jina Pollsmoor, ambapo iliwabidi kushuka nakutembea kwa miguu baada ya kuzingirwa napolisi.

Jamaa hao walinaswa mda mfupi baadae na polisi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

R.KELLY AZUSHIWA JIPYA. JAMANI!

Vituko vinaendelea kumuandama mkongwe wa RnB ulimwenguni R.Kelly baada ya mtu asiyejulikana, kupigia simu polisi akidai kuwa wanawake wanaoishi na R.Kelly walikua wanapanga kujitoa uhai ...
Skip to toolbar