WAHU AMSEMA NAMELESS KWA MASHABIKI

0

Msanii wa kike nchini mwenye makao yake jijini Nairobi Wahu ameibua gumzo mtandaoni baada ya kufichua mumewe ambaye pia ni msanii, Nameless, hutumia hela nyingi zaidi kununua viatu kumshinda.

Kupitia instagram account yake, Wahu amefichua kuwa Nameless anatabia ya kununua viatu vingi vya bei ghali na mara nyingi hua vya rangi moja.

Akijibu kauli za mashabiki waliomvamia mitandaoni kwa sababu ya tabia yake, Nameless amejitetea kuwa “mwanamume ni viatu” na kuna ulazima wa mwanamume pia kusalia nadhifu na mtanashati kila mara katika jamii ya sasa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

KANYE WEST ATOA ZAWADI KWA PAPARAZZI

Baada ya kuwa na beef na mapaparazzi tofauti nchini Marekani rapa Kanye West ameweza kutafuta amani na watu hawa. Katika hatua iliyoshangaza wengi, Kanye West ...
Skip to toolbar