Kauli hii imeonekana kujitokeza katika maisha ya msanii mkubwa nchini Nigeria na barani Afrika 2face
idibia baada ya mtoto wake kupangwa kutumbuiza katika tamasha moja nchini Nigeria.
Nino mwenye umri wa miaka 10 kwa sasa, anatarajiwa ku’perform katika tamasha moja lililoandaliwa na
mamake mzazi lijulikano kwa jina la Change Convention mnamo tarehe 4 mwezi wa tatu.
Nino anasifika kufanana na babake 2face Idibia katika kila kitu kuanzia muonekao wa sura hadi sauti.
No comments