VIVIAN ASHINDWA KUTUMBUIZA SABABU HII

0

Msanii wa kike nchini mwenye makao yake jijini Nairobi Vivian ameelezea sababu kuu iliyomfanya kutoweza kufanya tamasha lililokua limepangwa mjini Kitengela.

Vivian amefichua kua aliamka akiwa amefura uso baada ya mwili wake ku’react na chakula alichokula.

Msanii huyu wa kike ameeleza kua amelazimika kumuona daktari na kupewa madawa ili kutibu allergy.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments