VIN DIESEL AMALIZA BEEF NA THE ROCK.

0

Inaonekana Vin Diesel amemaliza beef yake na Dwayne ‘The Rock’ Johnson.

Hili limejiri baada ya Vin Diesel kutoa kauli kuwa staa ‘The Rock’ anatisha sana kwenye maswala ya uigizaji wa filamu.

Vin Diesel amemsifia ‘The Rock’ akidai ‘The Rock’ ameng’ara sana kwenye filamu  mpya ya “Fast And Furious”.

Awali palikuwa na tetesi za beef kati ya Vin Diesel na The Rock kutokana na maneno ya The Rock kuwa waigizaji wenzake wa kiume kwenye filamu hiyo walkua wamemuangusha.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar