VIKTORIA KIMANI AKIRI HILI KUHUSU LUGHA YA KISWAHILI

0

Msanii wa kike mwenye makao yake jijini Nairobi Victoria Kimani amekiri kwamba hajui kuzungumza lugha ya kiswahili.

Bi. Kimani amethibitisha kwamba hua haelewi baadhi ya comments zinazoelekezwa kwake katika mitandao ya kijamii.

Bi. Kimani amefichua haya baada ya kutusiwa katika mtandao wa Instagram na shabiki mmoja na kufichua kuwa aliwacha kujaribu kujifunza lugha hii baada ya kukejeliwa kila wakati alipojaribu kuitumia.

Viktoria Kimani alizaliwa na kulelewa nchini Marekani katika miaka mingi ya maisha yake ya utotoni, kabla ya kurudi nchini Kenya akiwa mtu mzima miaka 10 iliyopita.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar