VERA SIDIKA SASA NI MSANII

0

Mwanamiitndo maarufu nchini mwenye makao yake jijini Nairobi, Vera Sidika hatimaye amejitosa katika ulimwengu wa usanii wa mziki baada ya kuachilia wimbo wake wikendi .

Wiki nzima iiyopita Vera Sidika aliwazuga mashabiki baada ya kutupia picha iliyoaashiria kapata mchumba mpya raia wa TZ, lakin baada ya wimbo wake kutoka, imebainika picha hiyo ilikua ni ya video ya wimbo huu.

Wimbo huo kwa jina “Nalia” uliachiliwa siku ya Jumamosi na kupokelewa kwa njia tofauti na wapenzi wa mziki a kizazi kipya mitandaoni huku baadhi ya mistari ikiaminika kumlenga aliyekua mchumba wake Otile Brown.

Hatua ya Vera Sidika inarudia ile ya mwanamitindo mwengine maarufu nchini Tanzania hamisa mobetto aliyeachilia wimbo miezi kadhaa iliyopita.

 

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII RADIO KUFANYIWA MAOMBI

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Radio atafanyia maombi maalumu kufuatia ajali mbaya iliyompelekea kulazwa hospitali akiwa hali mahututi kwa siku kadhaa sasa. Maombi hayo ...
Skip to toolbar