VERA SIDIKA AHAMISHA MAPENZI TANZANIA

0

Mwanamitindo maarufu mwenye makao yake jijini Nairobi, Vera Sidika Mung’asia aka Queen V amezua gumzo mitandaoni baada ya kumnunulia zawadi ya gari kijombi kimoja kinachodaiwa kuwa mpenzi wake mpya.

Kupitia instagram page ya Vera Sidika, ameonekana mwanamitindo Calisah katika picha iliyosambaa kwa kasi mitandaoni na maneno yakiwa Calisah kaipenda zawadi toka kwa Vera Sidika,  ambayo ni gari aina ya Benz.

Calisah ni yule yule mmoja aliewahi kuwa mpenzi wa mwanamitindo maarufu nchini Tanzania Wema Sepetu.

Vera na Calisah wanasemakana kuingia kwenye mahusiano punde tu baada ya Vera kumwagana na Otile Brown.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

SHETTA ATAKA HILI KUTOKA KENYA SASA.

Msanii wa Bongo Flavaz Shetta ameweka wazi kuwa anatafta mpenzi mwenye asili ya Kenya. Shetta ambaye tayari ana mke nchini kwao Tanzania, ameweka wazi kuwa ...
Skip to toolbar