UTAFITI: UNYWAJI POMBE UNASAIDIA KUZUNGUMZA VYEMA LUGHA ZA KIGENI

0

Utafiti mpya umebaini kwamba unywaji pombe/mvinyo unasaidia binadamu kufahamu na kuzungumza lugha geni kwa ukwasi.

Katika utafiti uliofanya na chuo kikuu cha Maastricht nchini Ujerumani, imebainika kuwa unyawji pombe unapunguza vitu ambavyo humzuia binadamu kujua na kuongea lugha geni kwa uharaka.

Utafiti huo ambao tayari umechapishwa katika jarida la ufahamu wa kisayansi la Journal OfPsychopharmocology ulihusisha watu 50 waliojifunza lugha ya Ki’Dutch.

Nusu ya idiadi walipewa pombe na nusu maji kabla ya kufanya mtihani wa mazungumzo na walimu wa lugha hii.

Utafiti wakisayansi ulibaini kwamba waliopewa pombe walizungumza kwa ufasaha zaidi ikilinganishwa na wale waliopewa maji.

Comments

comments

Our Rating

0
Reader Rating: (0 Rates)
0

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NIKKI MBISHI MKOSOA PROFESA JAY

Muziki wa Singeli unaonekana kuwaumizwa vichwa wasanii wengi wa Hip Hop hasa baada ya Professor Jay kuachia wimbo wake mpya kwa jina ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha ...
Skip to toolbar