USHAURI WA KING KAKA KUHUSU SOKO LA MZIKI WA KIMATAIFA

0

Rapa King Kakaamewashauri wasanii wenza kutoka Kenyakutolazimisha kubadili mitindo yao ya uimbaji ili kupenya katika soko laki mataifa.

Akizungumzia hatua ya wimbo wake kuwekwa katika playlist ya mechi moja ya mpira wa kikapu nchini Marekani, King Kaka ametaja tukio hilo kama inshara kamili kwamba sampuli ya mziki asili wa Kenya unaweza kupendwa katika soko la kimataifa ukiwa jinsi ulivyo.

Wimbo “Dundaing”alioshiriksha Kristoff na Magix Enga uko katika album yake mpya ‘Eastlando Royalty’ inayoshirikisha jumla ya nyimbo 18, ikiwemo collabo na wasanii wa kimataifa kama rapa maarufu nchini Marekani, Talib Kweli

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

SEPTEMBA DAVIDO APANGA KUFANYA HILI

Staa wa muziki kutokea Nigeria Davido ametangaza kuachia Album yake ya nne baadae mwezi Septemba 2018. Davido ameachia album 3 katika safari yake ya kimziki ...
Skip to toolbar