UPENDO NKONE: MZIKI WA INJILI UMEVAMIWA

0

Msanii wa injili kutoka nchini Tanzania Upendo Nkone, amelalamikia hatua ya baadhi ya wasanii wa mziki wa kidunia kuanza kuimba mziki wa injili licha ya kutokua washiriki adimu wa dini.

Upendo Nkone anasema kwa sasa kumetokea mtindo ambapo wasanii wa mziki wa kidunia wanaimba nyimbo kwa mtindo wa kidunia lakini wanaingiza maneno ya kidini kuufanya wimbo kuonekana wa injili.

Upendo Nkone anasema hapingi kubadilika kwa mtindo wa mziki kuendana na wakati na kizazi cha sasa lakini akasistiza kuwa kuna kundi la mashabiki ambalo linahitaji mtindo wa awali

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII ANAYELIPWA HELA NYINGI ZAIDI KENYA.

Msanii Otile Brown anadai kwa sasa yeye ndiye msanii anayelipwa hela nyingi zaidi kutumbuiza nchini. Otile Brown ambaye majuzi aliachilia kazi mpya akimshirikisha msanii kutoka ...
Skip to toolbar