UKWELI KUHUSU ASLAY KUKOSANA NA MKEWE

0

Msanii wa muziki wa Bongo Flava nchini Tanzania Aslay amekiri kuwa ni kweli ametengana na mama ya watoto wake.

Aslay ametaja hatua hii kama sababu ya kutoonekana nae mara nyingi katika sehemu za umma.

Msanii huyu amefichua kuwa kwa sasa wako pamoja na mkewe kwa ajili ya kulea mtoto wao.

 

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

GRAND PA YAFIKA MWISHO?

Msanii wa mwiso aliyekua amebaki katika record label iliyowahi kuvuma miaka ya nyuma Grand Pa Records Dufla Diligon ametangaza kuihama record label hiyo. Taarifa za ...
Skip to toolbar