UHUSIANO WA JUX NA VANESSA WA YUMBA. KUMETOKEA HILI

0

Mapenzi ya wasanii Vanessa Mdee na Jux  yanavumishwa kuyumba baada majibizano hadharani katika mtandao wa instagram.

Ugomvi huu ulianza baada ya Jux ku post kipande cha video kinachomuonyesha mrembo mmoja kwa jina Julitha Kabete ambaye ni Miss Tanzania 2017  akiimba wimbo wake mpya aliomshirikisha Nyashinski – “In Case You Don’t Know”.

Hata hivyo chini yake Vanessa ali’ post ujumbe unaoeleza kuwa Bi. Julitha Kabete ndiye “type” ya Jux.

Hatua hii imemlazimu Jux kutuma ujumbe mwengine hadharani akieleza kuwa sio wasichana wote anao wa post instagram wakiimba nyimbo zake ana uhusiano wa kimapenzi nao.

Jux na Vanessa walirudia Januari mwaka jana baada ya kutengana kwa miezi 6.

Aidha mwaka jana Desemba Vanessa alijitokeza kupinga uvumi kwamba walikua wametangana baada ya kutooneka pamoja kwa mda.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar