TOTTI KESHO KUFANYA MAHOJIANO

0

Msanii anaekimbiza ukanda wa pwani kwa sasa na kibao chake “Kasaga” kesho ijumaa ya 01.04.16 anatarajiwa kufanya mahojiano Radio Kaya.

Kulingana na management yake, Totti atafanya mahojiano haya katika kipindi cha Kaya Flavaz 9am – 12pm ambapo atazungumzia mengi kuhusiana na safari yake ya kimziki.

Usikose kusikiliza Radio kaya 93.1fmMsa,94.9fmVoi,99.7fmMlnd kesho kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana.

Totti - Radio Kaya on 01.04.16

Totti – Radio Kaya on 01.04.16

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NAY AELEZA KIINI CHA KIMYA CHAKE

Wahenga walisema kimya kina mshindo. Kwa Nay wa mitego; wapenzi wa Bongo flavaz wanasema kimya chake kina mshindo zaidi. Nay wa mitego amelazimika kuelezea kwa ...
Skip to toolbar