TIMMY TDAT AOMBA MSAMAHA

0

Msanii Timmy Tdat mwenye makao yake jijini Nairobi amejitokeza kuomba msamaha mashabiki wake baada ya tukio la kucheza na mwandada mmoja vibaya stejini kuwakera.

Katika taaifa yake, Timmy amesema anaoba msamaha mashabiki walishuhudia tukio hilo pamoja na mwandada mhusika.

Timmy alizua ghadhabu za mashabiki mitandaoni baada ya tukio hilo lililotokea wakati wa tamasha mmoja wikendi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JAGUAR AZUNGUMZIA UVUMI WA KUPATA AJALI

Charles Njagua Kanyi a.k.a Jaguar amejipat katika hali isiyokua ya kawaida, baada ya uvumi kusambaa kwamba alihusika katika ajali na kufariki. Kulingana na uvumi uliokua ...
Skip to toolbar