TID AAPA KUTORUDIA UTUMIZI WA MIHADARATI

0

Msanii mkongwe wa mziki nchini Tanzania TID ametangaza kuwa hatowahi kurudia utumizi wa dawa za kulevya.

TID anasema utumizi wa mihadarati uliharibu mkondo mzuri wa maisha yake na hafikirii kurudia dhiki ya utumizi wa mihadarati.

TID ameahidi mashibiki kujishughulisha zaidi na mziki na kusahau yaliyopita maishani mwake.

TID ni miongoni mwa wasanii maarufu nchini TZ ambao walijiingiza katika utumizi wa mihadarati na kupoteza muelekeo wa maisha yao.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar