TAYLOR SWIFT AKATAA KUJIBU SWALI HILI LA MWANDISHI

0

Mwimbaji wa mziki wa Pop nchini Marekani Taylor Swift amekataa kujibu swali kuhusu lini anatarajia kujipatia mtoto.

Swift ambaye anakaribia kutimiza umri wa miaka 30 Disemba mwaka huu, aliulizwa swali hilo katika mahojiano na jarida la moja maarufu nchini Ujerumani.

Katika kukwepa swali hilo, Swift amejitetea kuwa wanaume hua hawaulizwi swali sampuli hii hata wanapopitisha miaka 30.

Swift amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na muigizaji mmoja kwa jina Joe Alwyn mwenye umri wa miaka 28 kwa kipindi cha miaka miwili sasa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar