TANZIA: SAM WA UKWELI AMEFARIKI

0

Msanii wa Bongo Flava Sam Wa Ukweli amefariki dunia.

Sam Wa Ukweli ambaye alisifika katika tasnia ya mzika afrika mashariki na wimbo wake “Hata Kwetu Wapo” amefariki  usiku wa kuamkia leo.

Taarifa nchini Tanzania zianeleza kuwa Sam Wa ukweli alifariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Producer wake kwa jina Steve amethibitisha kifo cha Sam Wa Ukweli na kupinga uvumi kwamba alifariki kutokana ugonjwa wa ukimwi na kueleza kuwa Sam Wa Ukweli alikua karogwa.

Hii si mara ya kwanza kwa tetesi za kurogwa kumzunguka Sam Wa Ukweli kwani akiwa hai aliwahi kuzungumzia swala hili.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar