TANZIA: D’BANJ AFELEWA.

0

Msanii D’Banj wa nchini Nigeria amempoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja.

Taarifa zinadai kuwa staa huyo alikuwa nchini Marekani kwaajili ya tuzo za BET wakati akipata tarifa ya kifo cha mwanae Daniel aliyezaa na mzazi mwenzake Didi Kilgrow.

Imeelezwa kuwa mtoto huyo alipata ajali baada ya kuzama katika swimming pool akiwa nyumbani kwao nchini Nigeria

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || TRIPPER – USIKATE TAMAA

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Tripper – Usikate Tamaa: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar