TANZIA: BABAKE MICHAEL JACKSON AFARIKI

0

Baba mzazi wa aliyekuwa Mfalme wa muziki wa Pop duniani Michael Jackson, Joe Jackson amefariki dunia hapo jana mchana.

Joe Jackson amefariki jijini Los Angeles nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 89.

Kwa mujibu wa taarifa nchini Marekani, Joe Jackson alilazwa tangu mwezi Machi mwaka huu  na alikuwa na anasumbuliwa na saratani.

Joe Jackson ni moja mameneja walioacha historia nchini Marekani kwa kuwasimamia  watoto wake katika kazi zao za muziki, akiwemo marehemu Michael Jackson na Janet Jackson.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MR.NICE AKUTANA NA KANYE WEST

Msanii wa muziki mwenye asili yake nchini Tanzania aliehamishia makazi yake nchini Uganda Mr.Nice amefanikiwa kufanya kitu ambacho wasanii wengi kwa sasa Afrika Mashariki wanatamani ...
Skip to toolbar