TAIRENI YA SUSUMILA MAANA YAKE HALISI NI NINI?

0

Ni wiki imepita tangu msanii Susumila kuachilia kazi yake mpya jina “Taireni” baada ya kimya kirefu.

Tofauti na kazi zake za awali, ngoma “Taireni”,imepokelewa na hisia tofauti na wadau pamoja na mshabiki wa mziki wa kizazi kipya kanda ya pwani kutoka na maudhui yake.

Kulingana na Susumila, wimbo taireni unazungumzia mapenzi ya kawaida ambayo kila msanii anaimba, lakini aliamua kuyawasilisha katika mtindo tofauti.

Susumila anasema alimaua kutumia utamaduni na imani za uwepo wa viumbe jini kuwasilisha ujumbe wa mapenzi .

Susumila anasema mtindo wake ni sawia na ule uliotumika na Z Antony katika wimbo mpenzi jini.

Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea

HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo

HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo

JIUNGE NAMI KUPITIA  
Twitter: @BaloziTeddy     
Instagram: @teddymwanamgambo     
Facebook: Teddy Mwanamgambo

KUSKIZA Radio Kaya BOFYA HAPA >>> : RADIO KAYA 

 

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar