TAIFA LENYE VIWANGO VYA CHINI VYA UFISADI DUNIANI.HUTAAMINI!

0

Taifa la Denmark limetangazwa kuwa taifa lenye viwango vya chini zaidi vya ufisadi duniani.

Katika ripoti iliyotelewa na shirika la Transparency International, Denmark inaongoza jumla ya mataifa 188 duniani yaliyofanyiwa utafiti ikifuatiwa na taifa la Newzealand.

Barani Afrika, taifa lenye viwango vya chini vya tabia ya ufisadi ni taifa la Ushelisheli.

Kanda ya Afrika mashariki taifa lenye viwango vya chini ni Rwanda ikifuatia na Tanzania huku Burundi na Uganda  na Kenya yakitajwa mataifa yenye viwango vya juu vya tabia ya rushwa.

Katika orodha ya ripoti ya Transparency International, bara la Afrika ndilo lenye mataifa mengi yenye viwango vya juu vya rushwa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

WANAONYOA KIDUKU WAFANYWA HIVI TANZANIA.

Polisi jijini Dar Es Salaam nchini Tanzania wanadaiwa kuanza kuwakamata vijana wanaonyoa style ya nywele inayojulikana kama kiduku. Kulingana nataarifa katka gazeti moja la Tanzania ...
Skip to toolbar