TAIFA LA PILI AFRIKA KUHALALISHA BANGI

0

Zimbabwe imekua taifa la pili barani Afrika kuhalalisha bangi kutumika kwa tiba na matumizi mengine ya kisayansi.

Waziri wa afya nchini Zimbabwe David Parirenyatwa amechapisha baadhi ya vifungu vya sheria vinavyowaruhusu watu na makampuni kupewa leseni ya kufanya kilimo cha mmea wa bangi.

Mwaka jana Lesotho ilikua taifa la kwanza barani Afrika kuhalalisha kilimo cha bangi kwa sababu za kibiashara na tiba, ambapo ilikadiria kuingiza kiasi cha dola milioni 240 kwa mwaka kupitia bidhaa hiyo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JE NI KWELI AKOTHEE AMESHIKWA NA WAZIMU?

Msanii mkubwa kanda ta pwani Akothee amejitokeza kuzungumzia uvumi uliozagaa mitandaoni kwamba ameshikwa na wazimu. Akothee ameweka wazi kwamba kipande cha video kinachosambaa kikimuoyesha akiwa ...
Skip to toolbar