SUSUMILA HAJAKATA TAMAA YA NDOA. AFICHUA VIGEZO VIPYA

0

Licha ya swala la kudumu kwa ndoa zake likiendelea kumchenga, msanii mkubwa kanda ya pwani Susumila anasema hajakata tamaa kuhusu mapenzi.

Susumila amefichua vigezo vipya vya mwanamke angependa kuingia nae katika ndoa atakapomaliza kuuguza majeraha ya moyo.

Susumila anasema hataki msichana maarufu.

Susumila aidha anasema hataki msichana yeyote aliyekwenye mitandao ya kijamii.

Aidha msanii huyu ameongeza kwamba angependa msichana atakayekubali kuishi maisha ya kutomsumbua na kesi ndogo ndogo za mapenzi kila mara.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar