SURA YAKE YASABABISHWA AKAMATWE NA POLISI!

0

Jamaa mmoja nchini Nigeria anataka idara ya polisi nchini humo kuchukulia hatua maafisa flani wa polisi waliomkamata na kumtupa korokoroni sababu ya sura yake kufanana na ya kike.

Tosin Olakunle anayejishughulisha na kupamba nyuso za watu na mitindo ya nywele anadai alikamatwa na polisi nchini kwa kile walichodai kuwa eti ni ‘mwembamba sana halafu ana sura ya kike wakati yeye ni mwanaume’.

Olakunle anadai alilazimika kutoa naira 2000, ambazo ni sawa na shilingi 500 pesa za Kenya kuachiliwa kwa dhamana.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

LINAH  AMCHANA SHABIKI HADHARANI.

Msanii wa kike nchini Tanzanian Linah Sanga karibuni ameingia katika mgogoro wa maneno katika mtandao wa kijamii na shabiki wake mmoja. Uhasama baina ya Linah ...
Skip to toolbar